Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #881
Kama unamaanisha deki za DVD zipo nyingi sanamkuu vip dvd zipo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unamaanisha deki za DVD zipo nyingi sanamkuu vip dvd zipo ?
Tuna tuma popote Tanzania mkuu kwahilo usijali ila zinafikia stend ww ndio unaifata stand mkuu bei hy takufanyia hy mana kwenye kutuma huwa tunabanwa kulingana na thamani ya mzigo mkuu ili hata ukipotea wawajibike kulipa mkuu
Yani takufanyia 2 kamili mkuu zaidi yahapo halipiAhsante mkuu. Tufanye Biashara. Niambie discount to % ngapi. Usafirishaji nitapanga mimi na hao wasafairishaji wangu watakuja kuchujua hapo ulipo.
Yani takufanyia 2 kamili mkuu zaidi yahapo halipi
Inategemea unahitaji aina gani mkuu mana zipo aina mbalimbali na ukubwa tofauti nivema ungesema unataka ukubwa gani na aina ganiMkuu mm naitaji printer na computer vp bei
Mkubwa naitaka hii nko babati lakini nna mia mbili ishirini![]()
Meza TV
Price 280,000
Hiyo imeisha ipo dizaini nyingineMkubwa naitaka hii nko babati lakini nna mia mbili ishirini
Chupa hakunachupa za chai zinapatika hapo na bei gani
Labda nikupointie sidhan kama 240 itakuepoNinaweza pata na kabati milango miwili la mbao mkuu nna 240
Mkubwa naitaka hii nko babati lakini nna mia mbili ishirini