Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #861
650,000Desktop ni kiasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
650,000Desktop ni kiasi gani
W300 takufanyia 300,000 spika ndogo 5 na w350 takufanyia 350,000 spika ndogo 5 ni LG na SonnyMkuu home theatre ya son watt 250,300-350 naomba kujua bei zake au kama zaidi ila isizidi watt 1000
Mixer ulizonazo ni za kampuni gani, zina ujazo kuanzia kiasi gani (ujazo wa kuchanganya)Mixer zipo
Zipo kg 1.5 kg2 kg5 nakg10Mixer ulizonazo ni za kampuni gani, zina ujazo kuanzia kiasi gani (ujazo wa kuchanganya)
Natanguliza shukurani.
Hatuna mkuu labda kesho nikipata mda nikakuangalizie kwa wahindiUna machine ya kukata majani inayotumia petrol? Weka picha na bei
![]()
Brenda za kisasa
Price 210,000
Nahitaji kusagia tende, je hiyo inaweza kufaa au bila kutoa mbegu au ni mpaka kutoa mbegu!?Ni brenda ndogo kwajili ya kusagia vitu vigumu![]()
Price 95,000
Tuna tuma popote Tanzania mkuu kwahilo usijali ila zinafikia stend ww ndio unaifata stand mkuu bei hy takufanyia hy mana kwenye kutuma huwa tunabanwa kulingana na thamani ya mzigo mkuu ili hata ukipotea wawajibike kulipa mkuuMkuu hii kwa bei ya mwisho unapokea shilingi ngapi?
Niko kijijini huku, lakini nilikuwa naomba unisaidie kuwapelekwa wajuu zangu Tunduru, wataipataje?
Inasaga bila shidaNahitaji kusagia tende, je hiyo inaweza kufaa au bila kutoa mbegu au ni mpaka kutoa mbegu!?