INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Canon ir2520 touch screen A4, A3, A4r, A5r,
Price 2100,000
 
Tuna tuma popote Tanzania mkuu kwahilo usijali ila zinafikia stend ww ndio unaifata stand mkuu bei hy takufanyia hy mana kwenye kutuma huwa tunabanwa kulingana na thamani ya mzigo mkuu ili hata ukipotea wawajibike kulipa mkuu

Ahsante mkuu. Tufanye Biashara. Niambie discount to % ngapi. Usafirishaji nitapanga mimi na hao wasafairishaji wangu watakuja kuchujua hapo ulipo.
 
Ahsante mkuu. Tufanye Biashara. Niambie discount to % ngapi. Usafirishaji nitapanga mimi na hao wasafairishaji wangu watakuja kuchujua hapo ulipo.
Yani takufanyia 2 kamili mkuu zaidi yahapo halipi
 
Kujali mteja nisehem ya jukumu letu nafuu family tunasambaza huduma popote chini na kwa bei nafuu usisumbuke huduma unafikishiwa hadi mlangon
 
Kujali mteja nisehem ya jukumu letu nafuu family tunasambaza huduma popote nchini na kwa bei nafuu usisumbuke huduma unafikishiwa hadi mlangon
 
Vikabati simple vya kisasa vinakuja kwa oda maalum point ujipatie
Price 65,000 tu
 
Ninaweza pata na kabati milango miwili la mbao mkuu nna 240
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…