INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu nilikuja kuchukua ile blender siku ya j3, nilikutafuta kwa hii no hkupatikana kabisa, na mvua ilikuwa balaa, nilichukua duka jingine, kampuni ya BISH.
 
Nilikuja kuchukua ile blender siku ya j3, nilikutafuta kwa hii no hkupatikana kabisa, na mvua ilikuwa balaa, nilichukua duka jingine, kampuni ya BISH.
 
ndugu, mna Frij za boss size ya kati milango miwili? kama mnayo bei gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…