INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

04da53ff9fcc0063c33432e2c395f769.jpg
Ni brenda ndogo kwajili ya kusagia vitu vigumu
Price 95,000
Vitu vigumu kama vipi?Maana mimi nahitaji brender ya kusagia vitu vigumu kama vile viungo vya magome ya mti
 
Mkuu nilikuja kuchukua ile blender siku ya j3, nilikutafuta kwa hii no hkupatikana kabisa, na mvua ilikuwa balaa, nilichukua duka jingine, kampuni ya BISH.
 
Nilikuja kuchukua ile blender siku ya j3, nilikutafuta kwa hii no hkupatikana kabisa, na mvua ilikuwa balaa, nilichukua duka jingine, kampuni ya BISH.
 
ndugu, mna Frij za boss size ya kati milango miwili? kama mnayo bei gan?
 
Back
Top Bottom