INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu naomba kujua bei za led /hd tv inch32-50 ambaZo zitafaa kwa ajili ya banda la kuonesha mpira bei zake zipoje?na kampuni gani?
Naweza pata projector yenye hour2500-3000 kwa ajili ya kuonyeshea mpira kwa bei gani?
 
Chukua Starx nch 43 matumizi ya banda la mpira inatosha kabisa takupa kwa bei ya ofa kabisa ushindwe wewetu afu hiyo projector ipo accer 760,000
 
rice cooker yenye food steamer
Unaweza kuivisha kuku samaki mayai ya kuchemsha mboga za majani huna haja ya kununua food steamer
Price 125,000
 
Toyota markx ipo sokoni tanzania imetumika miezi mitano ipo mkoani arusha
Price 950,000,0
 
Mkuu una DIGITAL AUDIO IN OPTICAL CABLE? Kama zipo ni bei gani? Nina safari ya kuja K/koo masaa machache yajayo nikutafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…