Mr Equalizer
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 611
- 727
Mimi nimeuliza bei ya Epson T50 na L805 , nifahamishe please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
805 bei ni laki nane nanusu hy t50 hakunaMimi nimeuliza bei ya Epson T50 na L805 , nifahamishe please.
480,000panasonic flat tv inch 32 sh ngapi hapo inahitajika haraka
Bei Hy huwezi kupata mkuu 480 ndio top mkuu mm nauza bei ya mtanzania wa hali ya chini mkuupunguza kuna 450,000
Kiongozi miye naitaji hicho kifaa ndogo kichachofanya Kazi kama bloototh receiver takipata wapi![]()
Hii home theater music system lg ina watt350 mziki huu si wa kitoto bei nafuu inakila kitu isipo kuwa Bluetooth ila unaweza kutumia Bluetooth kwanjia mmoja kuna kifaa kinaitwa dongo kinauzwa 10000 unaweka sehem ya flash Bluetooth inasoma kama kawa
Price 300,000 tu lg hii
Nahisi nilikujibu whatsapp mkuuKiongozi miye naitaji hicho kifaa ndogo kichachofanya Kazi kama bloototh receiver takipata wapi
Kiongozi miye ndio Mala Ya kwanza napitia uzi wako ngoja nikucheck whatsapp tufanye biasharaNahisi nilikujibu whatsapp mkuu
Ila kipo
Dongo USB ipo mkuu
Ok nisha kujibuKiongozi miye ndio Mala Ya kwanza napitia uzi wako ngoja nikucheck whatsapp tufanye biashara
Pamoja na dish zake sh ngapi mkuu![]()
![]()
![]()
Ving'amuzi vya Azam vinapatikana
Price 160,000
Mkuu Kwa laki3 na 50 naweza pata TV?![]()
![]()
LG TV smart 43"
Price 1450,000
Mkuu unapata fullPamoja na dish zake sh ngapi mkuu
250,000 mkuuTV Led nch 21 shiling ngapi mkuu??
Unamaanisha nitoe mi3 na75 ni aina gani hyo mkuuOngeza 25000 ukiwa tayari nicheki nipigie au ni whatsapp niku suprise TV mpya na ya kisasa full box 0672852415