Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,201
Ipo boss 540,000Hivi kuna Lg ambazo sio smart? Maana kuna jamaa kanunua mwezi huu kwa Laki 5 .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo boss 540,000Hivi kuna Lg ambazo sio smart? Maana kuna jamaa kanunua mwezi huu kwa Laki 5 .
Generator million moja na laki 2 pump 470,000 hp 1.5Mkuu nataka genrator yenye power kwa ajili ya kuwasha pump ya kuvuta maji kisimani na bei ya hiyo pump pia
Hiyo mkuu lgHebu weka picha yake mkuu
Mkuu naomba nijue Generator ya aina gani pamoja na hyo pumpGenerator million moja na laki 2 pump 470,000 hp 1.5
Huo mzigo vipi na niki kupa 280000/=?![]()
Home theater lg new model 2017
Watt 400
Price 380,000
Mpya au used mzee?![]()
Samsung milango miwili
Price 1650,000
Hakuna usede mkuuMpya au used mzee?
Hiyo pesa ninyingi Sana ila kwa mzigo huo huwezi pata 365,000 nitakupa chini ya hapo hakuna biasharaHuo mzigo vipi na niki kupa 280000/=?
Mic za kuvaa hakuna hizo spika za kanisa za ukubwa ganiMkuu Una speaker kwa ajili ya makanisa na vipi mic zile za kuvaa masikioni
Starx Nchi 24 bei 340000Nch 24 flat ya bei rahisi shingap msaada was kampuni na picha mkuu