INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Hii bei sijaelewa mbona
31060c38b303c9c7d8ee3fae1e1016e7.jpg

Chukua hii new model bei million moja nanusu
 
Mshikaji bei zako ni kubwa sana tafakali kisha punguza.
Soko huria mkuu sijashika bunduki nikakulazimisha lazima ununue nina wateja wanao elewa aina ya bidhaa so kuna mabandiko mengi na mm sipo peke yangu ktk biashara za mtandaon kila moja anakimbilia kwa anae mfaa mkuu WASALAM RAMADHAN QAREEM
 
Back
Top Bottom