Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,241
Hii bei sijaelewa mbona
Poa mkuu. Dogo kabisa la milango miwili bei gani?Million moja lakisita nanusu
Laki nnePoa mkuu. Dogo kabisa la milango miwili bei gani?
Ohoo milioni tenaMillion moja lakisita nanusu
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Laki nne
Tukuletee wapi[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Nitakuja mkuuTukuletee wapi
Ok karibu sanaNitakuja mkuu
Soko huria mkuu sijashika bunduki nikakulazimisha lazima ununue nina wateja wanao elewa aina ya bidhaa so kuna mabandiko mengi na mm sipo peke yangu ktk biashara za mtandaon kila moja anakimbilia kwa anae mfaa mkuu WASALAM RAMADHAN QAREEMMshikaji bei zako ni kubwa sana tafakali kisha punguza.
Mnapenda sana kupunguziwa hata palipo chini mwataka tu kuporomoana,nunua mkuu kama sakatee unayoNimependa blender vp bei yk haipungui
Ndiyo bei gani sasa hiyo mixer mkuu? Kg ngapi maximum?mixer hiyo
Mkuu sim kwa sasa Bado hazijaingia na hiyo aina ningum kwa anae tuletea huwa analeta iPhone na Samsung ni usede from ukMkuu inflinix note 3 shilingi ngapii
300,000mkuu ouling inch 25 utanipa kwa ngapi ?