INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu Jana nimekuja hapo msimbazi kkoo Amana bank nikapiga namba yako haipatikani.
Leo nikipata Muda takuja tena.
Ila nataka smart TV inch 32 Sony.
Bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio amana ni Azania benk club ya simba aukiwa pale DDC pia ukinichek takuelekeza afu Sony TV zao kidogo bei kubwa hiyo 32 takuuzia 680000 ndio bei ya mwisho ila Samsung 32" takuuzia 535000 lg 525000 na Tcl smart takufanyia mpaka 500,000 kamil hizo ndio brand kubwa kuna brand zakawaida kama ouling .vetron etc takufanyia 425000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo Sony kwa tsh. 680,000 ni smart TV? Na hiyo Samsung inch 32 ni smart TV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka pump ya kuvuta maji kutoka kisiman urefu mita 6 na kupandisha kwenye tank hebu nipe ushauri na bei zake zikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…