INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu Jana nimekuja hapo msimbazi kkoo Amana bank nikapiga namba yako haipatikani.
Leo nikipata Muda takuja tena.
Ila nataka smart TV inch 32 Sony.
Bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio amana ni Azania benk club ya simba aukiwa pale DDC pia ukinichek takuelekeza afu Sony TV zao kidogo bei kubwa hiyo 32 takuuzia 680000 ndio bei ya mwisho ila Samsung 32" takuuzia 535000 lg 525000 na Tcl smart takufanyia mpaka 500,000 kamil hizo ndio brand kubwa kuna brand zakawaida kama ouling .vetron etc takufanyia 425000

Mkuu hiyo Sony kwa tsh. 680,000 ni smart TV? Na hiyo Samsung inch 32 ni smart TV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3c18fab3cfe402775a6d8fccb3f6b1e9.jpg
samsung smart 43 nch
Price 1500,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna bidhaa za maofisini na majumbani tupo Kariakoo msimbazi Azania benki pia mikoani tunatuma
Bidhaa zetu ni[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zake
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiume
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
Usisumbuke mteja wetu tunakuletea bidhaa hadi mlangoni okoa muda wako kwa kufanya mambo mingine kazi ya kukuletea mzigo ni juu yetu
Phone + whatsapp no 0672852415
Call 0686465857
Call 0624701269
Call 0769729897

e38b9fef9515ca9c08f55689a3f861c3.jpg

With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000

Mawasiliano: 0672852415
nataka pump ya kuvuta maji kutoka kisiman urefu mita 6 na kupandisha kwenye tank hebu nipe ushauri na bei zake zikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom