INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo


Optical cable kwa anae ihitaji please kuna alinipigia cm ana itaka nikaagiza kwa Jamaa Zanzibar ikaja naona kimya
Sh. ngapi!? Hakuna za one side optical cable and other side kawaida(i mean avi) or optical cable converter....!!! Coz nina Smart tv inatumia optical cable na Subwoofer inatumia cable za kawaida ....so kuconnect hizo inshu nimekwama.....nafikiria plan nyingine ya kununua home theater nadhan zenyewe zina optical cable option!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni optical to optical boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu Flat screens zote zinatumia technolojia ya LCD tofauti inakuja kwenye backlighting, basi.

LCDs za zamani zinatumia cold cathode fluorescent lamps as backlight lakini LCD TVs za siku hizi zinatumia idadi kubwa za saizi ndogo za light emitting diodes kuangaza screen, mfano: kwenye video au picha sehemu ya picha/scene ambapo ni peusi panaonekana ni peusi kweli kwa sababu diodes zinazimika kabisa sehemu hiyo, hii ni tofauti na LCD za zamani ambazo sehemu/scene nyeusi bado mwanga uonekana kwa mbali umefifia na siyo kutoweka kabisa na kufanya picha/scene zisionekane sio nzuri sana ukilinganisha na za LED&LCD combined TVs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…