Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,421
Zikija next weak takupa bei huwa zina tegemea na ukubwaNaomba bei boss wangu wa hizo samsung
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zikija next weak takupa bei huwa zina tegemea na ukubwaNaomba bei boss wangu wa hizo samsung
Kisima chenye urefu wa m6nataka pump ya kuvuta maji kutoka kisiman urefu mita 6 na kupandisha kwenye tank hebu nipe ushauri na bei zake zikoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo kuna za Sony m1.5 bei 27000 Za kawaida m1.5 bei 20000 na m3 bei 30000
Mkuu nijibu basi kuna MTU ananiuliza huku![]()
![]()
Mkuu natafuta hii universal mobile phone 3d video magnifier enlarge screen reading & watching.
Na bei yake mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sh. ngapi!? Hakuna za one side optical cable and other side kawaida(i mean avi) or optical cable converter....!!! Coz nina Smart tv inatumia optical cable na Subwoofer inatumia cable za kawaida ....so kuconnect hizo inshu nimekwama.....nafikiria plan nyingine ya kununua home theater nadhan zenyewe zina optical cable option!!![]()
![]()
Optical cable kwa anae ihitaji please kuna alinipigia cm ana itaka nikaagiza kwa Jamaa Zanzibar ikaja naona kimya
Ni optical to optical bossSh. ngapi!? Hakuna za one side optical cable and other side kawaida(i mean avi) or optical cable converter....!!! Coz nina Smart tv inatumia optical cable na Subwoofer inatumia cable za kawaida ....so kuconnect hizo inshu nimekwama.....nafikiria plan nyingine ya kununua home theater nadhan zenyewe zina optical cable option!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu LED ni light emitting diode kwa sababu ya colour display na OLED ni organic light emitting diode, this is advanced of LED and 4k is combination of four things( graphics format).
LCD is not graphics format and CRT tube emitting cathode rays to hit on screen for producing image.
Flat screen ni liquid crystal display.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan Mkuu nimeshindwa kupitia thread zote inawezekana Ulishaweka Bei;
Takupa nch 32 njoo 0672852415Samahan Mkuu nimeshindwa kupitia thread zote inawezekana Ulishaweka Bei;
Ila Naomba bei ya hii tafadhali,
NB: nahitaji Inch 30 au 32, any Brand aina yeyote Bajeti yangu ni 400.
Sina shaka na Bidhaa zako Hongera Mkuu.