Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,481
Ningum tv kutoka nyumban ije dukaniAisee napenda kuuliza nimenunua tv samsung 32 inches nimegundua haikizi matakwa yangu, kwa maana ya size ndogo nataka nibadilishe nipate angalau 43 inches. Je kunauwezakano wa kuweza kubadilisha kwa maana nilete hii niongeze pesa alafu nichukue kubwa natanguliza shukrani
Okay 43 inches ya samsung bei yake ipoje
Samahani hii inakuwa inasifa gani, uhd au hd smart au kawaida,
Hii yakawaida mkuu ila ni hiz new model walizo ingiza sokoni sasaSamahani hii inakuwa inasifa gani, uhd au hd smart au kawaida,
Mkuu hii kabati hunaNtaftie kakabati kazuri ambacho ntaweka TV ya 43 na him thieta ya Sony spika 5, 4 ndefu, nipe na bei kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia PM yako
Nimeiona mkuuMkuu angalia PM yako
sent from Sokoro nkorambokande
Unazo Samsung zaid ya hyo I mean bei ya chini kdgo!!
Samsung galaxy s6 adge
Internal gb 32
Price 720,000
Zote ni usede from uk
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimebaki hizi boss hizi ni og zinatoka uk wala sio Dubai boss chukua iphoneUnazo Samsung zaid ya hyo I mean bei ya chini kdgo!!
I phone hapana by my side cna kazi nayo android inanitosha npo addicted sana na Samsung anyway ci mbaya uwe una update zikija za tofauti; nafatilia huu Uzi hta kwa vitu tofauti axnte!!!Zimebaki hizi boss hizi ni og zinatoka uk wala sio Dubai boss chukua iphone
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok zikija ta post ndio kazi yanguI phone hapana by my side cna kazi nayo android inanitosha npo addicted sana na Samsung anyway ci mbaya uwe una update zikija za tofauti; nafatilia huu Uzi hta kwa vitu tofauti axnte!!!