Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,481
Ningum tv kutoka nyumban ije dukaniAisee napenda kuuliza nimenunua tv samsung 32 inches nimegundua haikizi matakwa yangu, kwa maana ya size ndogo nataka nibadilishe nipate angalau 43 inches. Je kunauwezakano wa kuweza kubadilisha kwa maana nilete hii niongeze pesa alafu nichukue kubwa natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app