Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,541
mkuu samahani hii rice cooker inatumika kufanya nini vile mm mshamba wa jf nitoe tongotongo hapa kuna kitu nimekiwaza kama maelezo yako yatakuwa kama vile mm nawaza bas nakuja kununuaRice cooker
Price 90,000
unapikia wali na mtori pia hata supumkuu samahani hii rice cooker inatumika kufanya nini vile mm mshamba wa jf nitoe tongotongo hapa kuna kitu nimekiwaza kama maelezo yako yatakuwa kama vile mm nawaza bas nakuja kununua
swadakta mkuu ,tutafanya mawasiliano niweze kuipata maana nna kamgahawa kangu hapa nitapkia supu
hakuna tabuswadakta mkuu ,tutafanya mawasiliano niweze kuipata maana nna kamgahawa kangu hapa nitapkia supu
Kiaje utapeli tena??Aacha utapeli!!
ahsante kwa taarifa mkuu afu usipende kutia dosari kwenye jitihada za wenzakoAacha utapeli!!