Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #1,541
full hd /hdmi port/usb
price 480000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu samahani hii rice cooker inatumika kufanya nini vile mm mshamba wa jf nitoe tongotongo hapa kuna kitu nimekiwaza kama maelezo yako yatakuwa kama vile mm nawaza bas nakuja kununuaRice cooker![]()
Price 90,000
unapikia wali na mtori pia hata supumkuu samahani hii rice cooker inatumika kufanya nini vile mm mshamba wa jf nitoe tongotongo hapa kuna kitu nimekiwaza kama maelezo yako yatakuwa kama vile mm nawaza bas nakuja kununua
swadakta mkuu ,tutafanya mawasiliano niweze kuipata maana nna kamgahawa kangu hapa nitapkia supu
hakuna tabuswadakta mkuu ,tutafanya mawasiliano niweze kuipata maana nna kamgahawa kangu hapa nitapkia supu
Kiaje utapeli tena??Aacha utapeli!!
ahsante kwa taarifa mkuu afu usipende kutia dosari kwenye jitihada za wenzakoAacha utapeli!!