tupo msimbazi nyuma ya azania benk ukiwa tayar utanijulisha usiwe na tabu
Nina Epson l800 brand new kwenye box nicheki kwa 0682018204Boss mna Epson printer L800 or L805.......na heat press machine naweza kuipata hpo dukn kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
LG zipo watt 1000 tu kuna ya blue ray na ya kawaida mkuu ya blue ray 800,000 ya kawaida bei 730000
Acha uongo wewe, mi nimeshanunua hapo homethietre, smart TV, fridge, wala hakuna utapeli, labda ulijitapeli mwenyewe....jamaa wapo vizuriYaan kwenye wiz usitie doa !!? nilishafika hapo wanakoelekeza watu ukienda hakuna kitu ukiwauliza kitu flan wanaaza kutaftana na kutafta duka jingine ambalo sio lao, na ndiomaana wanasisitiza et watadeliver wenyewe na usiende dukani kwao.Ujinga mtupu.
Samahani mkuu hizi deck zinaona HDD hard disc externalDVD player sonny full HD
Full box price 145,000