INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu Amani mfaume una freezer za Syinix?. Naomba bei ya kila saizi. Pia kama huna nipe bei za aina ulizo nazo kwa saizi zote ukiachana na ile ndogo ya kwanza na ya pili. Niliku pm naona kimya.
 
Naweza pata wireless microphone...zile za kuvaa kichwani?? Kama anazotumiaga mwakasege?? Je kama unazo ni aina gani?? Na muonekano wake upoje?? Na bei yake ni sh ngap? Na jee uwezo wake ni wa umbali gani?? Nijuze pls..
 
umbali mita 100 ni nzuri universal hazichagui spika mangi afu kama nishakutumia watsapp
 
Kasungura flat 50inch being gani
mangi hili jina umelipata wapi? Ok inch 50 bei zinatofautiana kulingana na makampuni samsungi ni 1,800,000
singsung ni 1,200,000
homebase 1,200,000
starx ni 1,150,000
LG ni 1,450,000 ila nch 49
 
Mods tunaomna report ya mapato na matumizi...
Naona matangazo yanatulipa sana siku izi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…