INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Amani mi nataka kujua kama una vifaa vifuatavyo unitajie bei, mashine nzuri (heavy duty) ya kunyolea saluni, blower (inapulizaga vinywele au kukausha baada ya kunyolewa, kukaushwa na kufutwa), viti vya kuoshea mtu aliyenyolewa, generator. Nitajie bei za used na new kama unazo both
 
machine heavy duty ni used bei 90,000
generator ni mpya bei 400,000 viti vya saloon kwa sasa hatuna ila ukija takuelekeza vinakuzwa bei nafuu
handing drayer 65000
 
microwave oven manual yakisasa zaidi
price 200,000
 

Attachments

  • Boss.jpg
    29.6 KB · Views: 80

jipatie jiko la gas na umeme plate 4
plate 2 umeme

plate 2 gas
oven inatumia gas
price 500,000
 
Mkuu smart watch mnazo? Na ni bei gani?
 
Duka gani pale Mkuu?
Na Maduka ya Posta VAT yake "iko juu" kuliko VAT ya kariakoo kaka 😀😀
VAT ni asilimia 18 sehemu yoyote kwahiyo haiwezi kuwa chini sehemu fulani na kuwa juu sehemu nyingine.

Bei ya bidhaa ndio ina determine VAT yake iwe kiasi gani.

Mfano ukinunua bidhaa ya shilingi 300,000 VAT yake haiwezi kuwa sawa na VAT ya bidhaa ya shilingi 100,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…