Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
machine heavy duty ni used bei 90,000Amani mi nataka kujua kama una vifaa vifuatavyo unitajie bei, mashine nzuri (heavy duty) ya kunyolea saluni, blower (inapulizaga vinywele au kukausha baada ya kunyolewa, kukaushwa na kufutwa), viti vya kuoshea mtu aliyenyolewa, generator. Nitajie bei za used na new kama unazo both
Bei gani hiyo mkuuMkuu una plate zinazotoa moto kwa 18grams/hr za gas plate mbili
lipi mangi majiko yote yanabeijiko
La umeme na gaslipi mangi majiko yote yanabei
500k
Poa mkuu ntakustua ntakucheck500k
OKPoa mkuu ntakustua ntakucheck
VAT ni asilimia 18 sehemu yoyote kwahiyo haiwezi kuwa chini sehemu fulani na kuwa juu sehemu nyingine.Duka gani pale Mkuu?
Na Maduka ya Posta VAT yake "iko juu" kuliko VAT ya kariakoo kaka 😀😀