INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

62faff6eea28f587628731a77fce74f5.jpg

Hii home theater music system lg ina watt350 mziki huu si wa kitoto bei nafuu inakila kitu isipo kuwa Bluetooth ila unaweza kutumia Bluetooth kwanjia mmoja kuna kifaa kinaitwa dongo kinauzwa 10000 unaweka sehem ya flash Bluetooth inasoma kama kawa
Price 300,000 tu lg hii
 
Mkuu nimesoma kila comment,unajitahidi sana. Me nataka samsung smart flat screen inch 40 au lg. Nipe bei nije kuchukua. Nataka pia blender ya kusaga vitu vigumu km karanga. Hiyo blender km ipo niwekee picha na bei mkuu..!
 
Back
Top Bottom