INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

3c0b9d61ba767069c57aab5ab51d3b3b.jpg
Fridge ndogo
Price 280,000
Ni aina gan hii mkuu friji na vp derived kw mteja inakuaje
 
Mkuu nimesoma kila comment,unajitahidi sana. Me nataka samsung smart flat screen inch 40 au lg. Nipe bei nije kuchukua. Nataka pia blender ya kusaga vitu vigumu km karanga. Hiyo blender km ipo niwekee picha na bei mkuu..!
Mkuu nimekupata ila Samsung na lg Havana inch 40 zipo inch 43 bei million moja na nusu pia ipo kampuni ya tcl inch 40 bei laki nane na tisini natano na inch 43 laki tisa na elfu stini Brenda yakusagia vitu vikavu bei lakimbili mkuu
 
ok.km una picha ya hiyo blender niwekee mkuu.
 
Hakuna shaka wateja wapo nashukuru mungu japo waoga kuamini juzi kuna nilimtumia arusha akanambia usichangie kwenye mambo yanayo husu serikali watakuteka ahahhahah
UNAYO WATER PUMP MASHINE NAYO BEI GANI PAMOJA NA OVEN
 
Kila kitu mkuu oven zipo tupo Kariakoo msimbazi Azania benk underfloor hy nzuri sana inachuja mkuu
 
Nauliza full desktop used computer ya specification HDD 160gb Ram 2gb cpu 2ghz flat lcd bei zake.
 
Back
Top Bottom