Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #341
Huwezi pata smart kwa bei hyo mkuu hata kiwandani labda upate fake na zipo hata laki nne utauziwa ila kama unataka Samsung original yenye warrant card sidhani na kwa uzoefu wangu sijawahi kuona ila soko uria unaweza kwenda popote huenda utapta leo kuna mmoja kauziwa lg fake anataka ushauri baada ya kuumizwa mkuu nakukumbusha sitaki upate hasara ukiipta kwa bei hy kwanza akupe warrant card pili kama unaijua Samsung fananisha logo yake ikiwaka au nje ya screen ila hizo starx, tcl , na mo TV zinakila kitu kinacho ifanya iwe bei ya chini ni kampuni mkuu kwasabab hzo Samsung zili ji brand miaka mingi hizo starx niza sasa jaribu kupitia wanao zitumia wakupe majibuMkuu kwakweli nilitaka hyo sumsung, sina hakika hzo nyingine kama zina ubora kama Samsung, offer yangu ni laki tano so kama hailipi wacha nitafute tafute zaidi nitakapopata ya kuongezea nitakustua man.