Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #401
Yapo kwa wingi sanaMajiko ya gas na umeme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo kwa wingi sanaMajiko ya gas na umeme
Ni brand gani mkuu.Yapo kwa wingi sana
Yale makubwa yenye gas oven yana plate nne, 2gas na 2 umemeumeme plate 2 warrant miaka miwili![]()
Price 120,000
Nimekupata sana mkuu, na lazima nije nichukue original toka kwenu, ngoja nitafute tafute hela nijazie kwenye hii kilo 5 niliyonayo nitakapofanikiwa any day nitakuja, kuna jamaa wengine wapo magomeni wameniambia nipeleke kilo nne na nusu nikachukue sumsung original nch32 bt bila shaka watanishikisha kanyaboya.Huwezi pata smart kwa bei hyo mkuu hata kiwandani labda upate fake na zipo hata laki nne utauziwa ila kama unataka Samsung original yenye warrant card sidhani na kwa uzoefu wangu sijawahi kuona ila soko uria unaweza kwenda popote huenda utapta leo kuna mmoja kauziwa lg fake anataka ushauri baada ya kuumizwa mkuu nakukumbusha sitaki upate hasara ukiipta kwa bei hy kwanza akupe warrant card pili kama unaijua Samsung fananisha logo yake ikiwaka au nje ya screen ila hizo starx, tcl , na mo TV zinakila kitu kinacho ifanya iwe bei ya chini ni kampuni mkuu kwasabab hzo Samsung zili ji brand miaka mingi hizo starx niza sasa jaribu kupitia wanao zitumia wakupe majibu
Smart na starx wanadai wanauza kwa laki nne, nch32Huwezi pata smart kwa bei hyo mkuu hata kiwandani labda upate fake na zipo hata laki nne utauziwa ila kama unataka Samsung original yenye warrant card sidhani na kwa uzoefu wangu sijawahi kuona ila soko uria unaweza kwenda popote huenda utapta leo kuna mmoja kauziwa lg fake anataka ushauri baada ya kuumizwa mkuu nakukumbusha sitaki upate hasara ukiipta kwa bei hy kwanza akupe warrant card pili kama unaijua Samsung fananisha logo yake ikiwaka au nje ya screen ila hizo starx, tcl , na mo TV zinakila kitu kinacho ifanya iwe bei ya chini ni kampuni mkuu kwasabab hzo Samsung zili ji brand miaka mingi hizo starx niza sasa jaribu kupitia wanao zitumia wakupe majibu
Mkuu za dukaHometheter za mtumba au za duka
Mkuu jana nilikwambia hii ni biashara uria unahaki ya kutafuta popote sijasema kwangu ndio nauza bei nafuu zaidi ya wote hapana na kila mfanya biashara ana njia zake na malengo yake kama umepata nunua mkuu mbn easy tu maamuzi ni yako kikubwa uridhieSmart na starx wanadai wanauza kwa laki nne, nch32
Poa mkuu.Mkuu jana nilikwambia hii ni biashara uria unahaki ya kutafuta popote sijasema kwangu ndio nauza bei nafuu zaidi ya wote hapana na kila mfanya biashara ana njia zake na malengo yake kama umepata nunua mkuu mbn easy tu maamuzi ni yako kikubwa uridhie
Hiyo used utanifania ngapi mkuu Bt nipo Iringa kwa sasa![]()
Kwa anae hitaji otg cable mpya used hiyo nayo tumia
Afu kingine starx smart kuanzia nchi 43 32 hawana na huwezi kupata smart nchi 32 kwa laki nne abadani ukipata nafuu sana labda mwisho laki nne na 85 za rising ouling na kampuni nyingine zinazo toa nchi 32 smart isipo kuwa Samsung, Panasonic, sonny, lg, tcl , hizi bei zao huwa juu kama kuna starx nchi 32 smart labda toleo LA mwezi huuSmart na starx wanadai wanauza kwa laki nne, nch32
Mkuu 30 lakini pesa ya kutumia utalipa wwHiyo used utanifania ngapi mkuu Bt nipo Iringa kwa sasa
Ntakutafuta WhatsApp mkuuMkuu 30 lakini pesa ya kutumia utalipa ww
Mkuu watt 100 au 1000? Zina anzia watt 300/350/-1000 lg na sonny zipo pitia page ya nyuma nime post kuna mpaka ya lakitatu lgWat 100 bei gan