INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

68d882b85da01a3162e33276474a4422.jpg
umeme plate 2 warrant miaka miwili
Price 120,000
 
Huwezi pata smart kwa bei hyo mkuu hata kiwandani labda upate fake na zipo hata laki nne utauziwa ila kama unataka Samsung original yenye warrant card sidhani na kwa uzoefu wangu sijawahi kuona ila soko uria unaweza kwenda popote huenda utapta leo kuna mmoja kauziwa lg fake anataka ushauri baada ya kuumizwa mkuu nakukumbusha sitaki upate hasara ukiipta kwa bei hy kwanza akupe warrant card pili kama unaijua Samsung fananisha logo yake ikiwaka au nje ya screen ila hizo starx, tcl , na mo TV zinakila kitu kinacho ifanya iwe bei ya chini ni kampuni mkuu kwasabab hzo Samsung zili ji brand miaka mingi hizo starx niza sasa jaribu kupitia wanao zitumia wakupe majibu
Nimekupata sana mkuu, na lazima nije nichukue original toka kwenu, ngoja nitafute tafute hela nijazie kwenye hii kilo 5 niliyonayo nitakapofanikiwa any day nitakuja, kuna jamaa wengine wapo magomeni wameniambia nipeleke kilo nne na nusu nikachukue sumsung original nch32 bt bila shaka watanishikisha kanyaboya.
 
Huwezi pata smart kwa bei hyo mkuu hata kiwandani labda upate fake na zipo hata laki nne utauziwa ila kama unataka Samsung original yenye warrant card sidhani na kwa uzoefu wangu sijawahi kuona ila soko uria unaweza kwenda popote huenda utapta leo kuna mmoja kauziwa lg fake anataka ushauri baada ya kuumizwa mkuu nakukumbusha sitaki upate hasara ukiipta kwa bei hy kwanza akupe warrant card pili kama unaijua Samsung fananisha logo yake ikiwaka au nje ya screen ila hizo starx, tcl , na mo TV zinakila kitu kinacho ifanya iwe bei ya chini ni kampuni mkuu kwasabab hzo Samsung zili ji brand miaka mingi hizo starx niza sasa jaribu kupitia wanao zitumia wakupe majibu
Smart na starx wanadai wanauza kwa laki nne, nch32
 
Mkuu jana nilikwambia hii ni biashara uria unahaki ya kutafuta popote sijasema kwangu ndio nauza bei nafuu zaidi ya wote hapana na kila mfanya biashara ana njia zake na malengo yake kama umepata nunua mkuu mbn easy tu maamuzi ni yako kikubwa uridhie
 
Poa mkuu.
 
Smart na starx wanadai wanauza kwa laki nne, nch32
Afu kingine starx smart kuanzia nchi 43 32 hawana na huwezi kupata smart nchi 32 kwa laki nne abadani ukipata nafuu sana labda mwisho laki nne na 85 za rising ouling na kampuni nyingine zinazo toa nchi 32 smart isipo kuwa Samsung, Panasonic, sonny, lg, tcl , hizi bei zao huwa juu kama kuna starx nchi 32 smart labda toleo LA mwezi huu
 
Back
Top Bottom