INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

3d545f6144369c8f97053a213e6a05b1.jpg
jiko gas plate 4 lina oven
Price 430,000tu
Zote 4 ni gas au pia lina umeme?

Je oven inatumia gas.

Nijibu nijue kama ina meet expectations zangu
 
Zote 4 ni gas au pia lina umeme?

Je oven inatumia gas.

Nijibu nijue kama ina meet expectations zangu
Zote gas ila zipo mbili gas mbili Umeme oven inatumia umeme
 
Afu kingine starx smart kuanzia nchi 43 32 hawana na huwezi kupata smart nchi 32 kwa laki nne abadani ukipata nafuu sana labda mwisho laki nne na 85 za rising ouling na kampuni nyingine zinazo toa nchi 32 smart isipo kuwa Samsung, Panasonic, sonny, lg, tcl , hizi bei zao huwa juu kama kuna starx nchi 32 smart labda toleo LA mwezi huu
Mkuu Nimekupata, so kwa hii kilo tano niliyonayo kwa sasa, nitafute ngapi niongezee nije nichukue hyo sumsung.
 
2e8f5ccfa011085692bd5e459b83f084.jpg
hili plate nne zote gas na oven inatumia gas price
600,000
 
1533e5679aea09fec8e49252636b599e.jpg
ikiwa ofisini baada ya kupointiwa ndio jiko la gas lenye oven inayo tumia gas pia
Price 600,000
 
Nimekuamin ww mkuu, hzo walizotaja cjui starx, smart nimewapuuza, nifanyie fair hyo sumsung, nitakuwa mteja wako na nitakutafutia vichwa kibao tuu kwa bidhaa zenu,.
Mr nimekufanyia 580,000 unaona nakuuwa laiti ungejua faida inayo patikana ungekuwa na huruma mm takushushia kumi tu kama utashindwa itakua sio ridhiki yangu
 
Mkuu Nina shida na speaker / woofer za gari full nipe picha zake na garama zake
 
Back
Top Bottom