INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Kuanzia saa2 usiwe nashaka tutakufanyia bei nzuri kwetu huduma bora nisehem ya jukumu letu
Nmekupata mkuu,Nahitaji friji dogo kiasi ujazo kama litre 165-175 hivi,milango miwili.Nafikiri utakuwa umenipata freshi.
Nmeshindwa kuitafuta picha ili ni quote coz nipo na haraka kidogo.
Kama umenielewa naomba bei yake mkuu.
 
cf82413b897019cc51483419811a9340.jpg
Nashukuru mkuu nimeziona je bei inaweza kushuka?mm niko na 1.5m unasemaje?pili uko na oven na kiasi gani yaani uko na vitu vyote vya bakers.shukran
 
Nmekupata mkuu,Nahitaji friji dogo kiasi ujazo kama litre 165-175 hivi,milango miwili.Nafikiri utakuwa umenipata freshi.
Nmeshindwa kuitafuta picha ili ni quote coz nipo na haraka kidogo.
Kama umenielewa naomba bei yake mkuu.
Laki sita nanusu
 
580,000
 
c0fb930a4ccc68c4ecbb15d8a5082cfc.jpg
bei ya offer mziki wa maana sio wa kukosa
Price 190,000
 
Back
Top Bottom