SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Nmekupata mkuu,Nahitaji friji dogo kiasi ujazo kama litre 165-175 hivi,milango miwili.Nafikiri utakuwa umenipata freshi.Kuanzia saa2 usiwe nashaka tutakufanyia bei nzuri kwetu huduma bora nisehem ya jukumu letu
Nmeshindwa kuitafuta picha ili ni quote coz nipo na haraka kidogo.
Kama umenielewa naomba bei yake mkuu.