pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Nakugawa bureeeeeHiyo ya kudondosha wapita njia ndo zuri Fanya discount,kuna baba mwenye Nyumba kila nikitaka kuhama ananikatalia sasa nikigonga usiku kucha mziki najuwa ataniruhusu nihame nimpunguzie kelele