INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mfaume nimepita hapo juzi niliona nipo karibu jengo la Azania pembeni lipo la msimbazi basi nikaingia kwa chini aisee nilikutana na KUNDI la vijana kibaaooo wote wakanivamia kila mmoja anataka kunisikiliza aaaah nikasema hawa vipii wapo macho juu juu wananiuliza sema unataka nini, nawauliza hii home theatre bei gn nikaona kila mmoja anashauku yakutaka kunijibu ninunue bana nikaona hawa MADALALI kwanza wasumbufu afu binafsi sipendi napokwenda sehem watu karibu saba wanakuzunguka kukusikiliza huwa siwezi nunua kitu kaka Mfaume, afu unavyoweka hapa vitu kwenye duka yenu hakuna vitu kibaoo kama mnavyoweka humu, au mnastock ya kutosha?? Ila niwaombe ktk ofisi yenu ondoweni udalali wanaharibu sana hao vijana aisee wana njaa Kali mno afu huwezi mtu kuwaamini kabisa ilibidi niondoke tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfaume nimepita hapo juzi niliona nipo karibu jengo la Azania pembeni lipo la msimbazi basi nikaingia kwa chini aisee nilikutana na KUNDI la vijana kibaaooo wote wakanivamia kila mmoja anataka kunisikiliza aaaah nikasema hawa vipii wapo macho juu juu wananiuliza sema unataka nini, nawauliza hii home theatre bei gn nikaona kila mmoja anashauku yakutaka kunijibu ninunue bana nikaona hawa MADALALI kwanza wasumbufu afu binafsi sipendi napokwenda sehem watu karibu saba wanakuzunguka kukusikiliza huwa siwezi nunua kitu kaka Mfaume, afu unavyoweka hapa vitu kwenye duka yenu hakuna vitu kibaoo kama mnavyoweka humu, au mnastock ya kutosha?? Ila niwaombe ktk ofisi yenu ondoweni udalali wanaharibu sana hao vijana aisee wana njaa Kali mno afu huwezi mtu kuwaamini kabisa ilibidi niondoke tuu
ulipo enda ni tofaut mkuu mm nipo kwa nyuma pale madalal wako shimon
 
nahakuna kitu utakacho kosa kama kipo humu nimekitangaza mkuu niko vizuri kuhusu hilo heri ya mwaka mpya
 
NAFUU ELECTRONIC SUPLIER kwa heshma na taadhima mwaka huu tunatumia fursa hii kukushukuru wewe mdau wetu kwa kutupa fursa ya kuweza kukuhudumia wewe kwa mwaka mzima, na tunakuahidi kwa kutumia nafasi hiyo kuweza kukuthamini na kukidhi hitaji lako kwa mwaka huu wa 2018.
Tunakushukuru sana kwa kazi zote ulizotupa na ushirikiano wote ambao ulitupatia mwaka mzima 2017 kama kuna ambapo tulikosea basi ni ahadi kwetu tutajirekebisha kuelekea kwenye ubora lengo ni ili kukidhi mahitaj yako wewe mteja wetu wa thaman na tumaini letu tutaendelea kupata ushirikiano wako kwa mwaka huu mpya 2018.
NAFUU ELECTRONIC MAKING LIFE MORE PERFECT..!
 
1.jpg

Sabwoofer ya kisasa zaidi
inatumia ac na dc
price 230,000
 
Sasa blaza Mfaume.
Bei ulizoweka hapa ziko fixed au mteja nikija naruhusiwa ku bagain.
itategemea na bidhaa ila unaweza compare na sehem nyingne bei ya bidhaa husika afu kiubinadam utataka upunguziwe au ununue kulingana na uhalisia
 
1.jpg
TCL Smart 43 inch
with hdmi out
usb out
full hd
smart tv
price 965,000
 
TUNA BIDHAA ZA MAJUMBANI NA OFISINI TUPO KARIAKOO MSIMBAZI AZANIA BENKI TUNA FANYA FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM PIA TUNA TUMA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UMAKINI ULIO TUKUKA KARIBU UJIUNGE NA FAMILIA YA NAFUU ELECTRONICS UFURAHIE HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA. KWETU MTEJA NI ZAIDI YA MFALME
BIDHAA ZETU NI
[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zake
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiume
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
Usisumbuke mteja wetu tunakuletea bidhaa hadi mlangoni okoa muda wako kwa kufanya mambo mingine kazi ya kukuletea mzigo ni juu yetu
Phone + whatsapp no 0672852415
Call 0686465857
Call 0624701269
Call 0769729897
TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU SHETANI HANA NAFASI
e38b9fef9515ca9c08f55689a3f861c3.jpg

With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Mawasiliano: 0672852415

Bidhaa "aina zote" sidhani kama mtakuwa nazo, tufafanulie vizuri, otherwise ungetumia neno bidhaa "mbalimbali".
 
Back
Top Bottom