Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
- #2,201
35000Naitaji hii aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
35000Naitaji hii aisee
295000ouling nchi 25 shi ngapi mkui
okNitakutafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfaume nimepita hapo juzi niliona nipo karibu jengo la Azania pembeni lipo la msimbazi basi nikaingia kwa chini aisee nilikutana na KUNDI la vijana kibaaooo wote wakanivamia kila mmoja anataka kunisikiliza aaaah nikasema hawa vipii wapo macho juu juu wananiuliza sema unataka nini, nawauliza hii home theatre bei gn nikaona kila mmoja anashauku yakutaka kunijibu ninunue bana nikaona hawa MADALALI kwanza wasumbufu afu binafsi sipendi napokwenda sehem watu karibu saba wanakuzunguka kukusikiliza huwa siwezi nunua kitu kaka Mfaume, afu unavyoweka hapa vitu kwenye duka yenu hakuna vitu kibaoo kama mnavyoweka humu, au mnastock ya kutosha?? Ila niwaombe ktk ofisi yenu ondoweni udalali wanaharibu sana hao vijana aisee wana njaa Kali mno afu huwezi mtu kuwaamini kabisa ilibidi niondoke tuu
ulipo enda ni tofaut mkuu mm nipo kwa nyuma pale madalal wako shimonMfaume nimepita hapo juzi niliona nipo karibu jengo la Azania pembeni lipo la msimbazi basi nikaingia kwa chini aisee nilikutana na KUNDI la vijana kibaaooo wote wakanivamia kila mmoja anataka kunisikiliza aaaah nikasema hawa vipii wapo macho juu juu wananiuliza sema unataka nini, nawauliza hii home theatre bei gn nikaona kila mmoja anashauku yakutaka kunijibu ninunue bana nikaona hawa MADALALI kwanza wasumbufu afu binafsi sipendi napokwenda sehem watu karibu saba wanakuzunguka kukusikiliza huwa siwezi nunua kitu kaka Mfaume, afu unavyoweka hapa vitu kwenye duka yenu hakuna vitu kibaoo kama mnavyoweka humu, au mnastock ya kutosha?? Ila niwaombe ktk ofisi yenu ondoweni udalali wanaharibu sana hao vijana aisee wana njaa Kali mno afu huwezi mtu kuwaamini kabisa ilibidi niondoke tuu
nahakuna kitu utakacho kosa kama kipo humu nimekitangaza mkuu niko vizuri kuhusu hilo heri ya mwaka mpyaMfaume nimepita hapo juzi niliona nipo karibu jengo la Azania pembeni lipo la msimbazi basi nikaingia kwa chini aisee nilikutana na KUNDI la vijana kibaaooo wote wakanivamia kila mmoja anataka kunisikiliza aaaah nikasema hawa vipii wapo macho juu juu wananiuliza sema unataka nini, nawauliza hii home theatre bei gn nikaona kila mmoja anashauku yakutaka kunijibu ninunue bana nikaona hawa MADALALI kwanza wasumbufu afu binafsi sipendi napokwenda sehem watu karibu saba wanakuzunguka kukusikiliza huwa siwezi nunua kitu kaka Mfaume, afu unavyoweka hapa vitu kwenye duka yenu hakuna vitu kibaoo kama mnavyoweka humu, au mnastock ya kutosha?? Ila niwaombe ktk ofisi yenu ondoweni udalali wanaharibu sana hao vijana aisee wana njaa Kali mno afu huwezi mtu kuwaamini kabisa ilibidi niondoke tuu
kuna ndogo 230,000 na kubwa zake 340,000Water dispenser bei gani mkuu
Hii ikoje ?sifa zake mkuuu
ina bluetoothHii ikoje ?sifa zake mkuuu
itategemea na bidhaa ila unaweza compare na sehem nyingne bei ya bidhaa husika afu kiubinadam utataka upunguziwe au ununue kulingana na uhalisiaSasa blaza Mfaume.
Bei ulizoweka hapa ziko fixed au mteja nikija naruhusiwa ku bagain.
Friza kubwa la biashara juu nipo![]()
Price 780,000
TUNA BIDHAA ZA MAJUMBANI NA OFISINI TUPO KARIAKOO MSIMBAZI AZANIA BENKI TUNA FANYA FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM PIA TUNA TUMA MIKOA YOTE TANZANIA KWA UMAKINI ULIO TUKUKA KARIBU UJIUNGE NA FAMILIA YA NAFUU ELECTRONICS UFURAHIE HUDUMA BORA NA ZENYE UHAKIKA. KWETU MTEJA NI ZAIDI YA MFALME
BIDHAA ZETU NI[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zake
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiume
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
Usisumbuke mteja wetu tunakuletea bidhaa hadi mlangoni okoa muda wako kwa kufanya mambo mingine kazi ya kukuletea mzigo ni juu yetu
Phone + whatsapp no 0672852415
Call 0686465857
Call 0624701269
Call 0769729897
TUMEANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU SHETANI HANA NAFASI
![]()
With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Mawasiliano: 0672852415
Fanya laki tatu mkuu!mixer new model kg1.5![]()
Price 400,000
Watt ngapi ?Moja ya matangazo yanayojitosheleza humu JF
SijakuelewaWatt ngapi ?