Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

Kama nahitaji na dish inakua kiac gan
 
Mleta mada upo? Hivi ukitaka kubadili lugha kwe Canal+ kama tunavyofanya dstv unafanyaje hebu lete hatua za kufuata?
 
Wakuu, hebu tupeni experience ya hiki king'amuzi, kwenye sports kwa ujumla. Maisha yanasonga freshi tuu na ki-French?

Apart from football, boxing matches zipo?MMA/UFC?
 
Hawez kujibu πŸ˜…πŸ˜… ye mwenyewe hajui
🀣🀣🀣🀣 sema jamaa wanatupiga sana.

Niliwasiliana na agent wa hivi ving'amuzi. Jamaa anasema Canal+ complete, yaani dishi na decoder ni Tsh 150,000/=
Ukija hapa sasa, jamaa anakwambia hana dishi zipo decoder tu.
One day nilipishana na jamaa pale Makumbusho Bus Stand amebeba dishi jipya la Canal+ mpaka nikajiuliza huyu jamaa kanunua wapi?
Nikatinga Kariakoo nimetafuta sana kila kona, hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…