DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hawa wajanja wajanja sana🤣🤣🤣🤣 sema jamaa wanatupiga sana.
Niliwasiliana na agent wa hivi ving'amuzi. Jamaa anasema Canal+ complete, yaani dishi na decoder ni Tsh 150,000/=
Ukija hapa sasa, jamaa anakwambia hana dishi zipo decoder tu.
One day nilipishana na jamaa pale Makumbusho Bus Stand amebeba dishi jipya la Canal+ mpaka nikajiuliza huyu jamaa kanunua wapi?
Nikatinga Kariakoo nimetafuta sana kila kona, hakuna.