Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

Jipatie King'amuzi cha Canal Plus

Hili haliwezekani. Mfumo ni kifaransa. Ukihitaji English package,ipo lakini gharama ni kubwa. Mfano kama umelipia kifurushi cha elfu 40, unatakiwa kutoa 80 elfu ndo upate package ya kingereza
Kwan si unachange lugha kune tv
 
Kwan si unachange lugha kune tv
Hapana mkuu. Hiki king'amuzi kina mfumo wa kifaransa. Kupata wa kiingeleza,ni malipo ya ziada. Mfano ukitaka uangalie mechi kwa mfumo wa kiingeleza,unalazimika kulipia gharama kama ile ya 40,000 tena. Kwa ujumla, English kwenye Canal+, ni ya wenye nazo
 
Attachments

  • Screenshot_20240113-181340.jpg
    Screenshot_20240113-181340.jpg
    86.5 KB · Views: 43
Vifurushi vipo kwa
-10,500
-20,500
-40,200 na 61,000 tuu
Na canal sport but huduma YA kulipia ndio changamoto...Je nikitaka kulipia nafanyaje kifurushi cha kuona UEFa Na EPL ..nyie wauzaji mtusaidie maana mnatuuzia Ila kulipa ndio inakuwa mtihani
 
Na canal sport but huduma YA kulipia ndio changamoto...Je nikitaka kulipia nafanyaje kifurushi cha kuona UEFa Na EPL ..nyie wauzaji mtusaidie maana mnatuuzia Ila kulipa ndio inakuwa mtihani
Mkuu,kwanza uelewe kitu kimoja. Na japo wengine si waungwana,kulipia hapa hapa TZ hutoweza. Ni kutuma pesa Rwanda,Burundi au DRC. Ndo huko hivyo ving'amuzi vinasajiliwa.
 
Mkuu,kwanza uelewe kitu kimoja. Na japo wengine si waungwana,kulipia hapa hapa TZ hutoweza. Ni kutuma pesa Rwanda,Burundi au DRC. Ndo huko hivyo ving'amuzi vinasajiliwa.
Sasa nafanyaje ikiwa nataka kulipia..Je sport ni sh ngapi niwe naona UEFa
 
Sasa nafanyaje ikiwa nataka kulipia..Je sport ni sh ngapi niwe naona UEFa
Kama sikosei zipo 6, na zote zinapatikana kwenye kifurushi hicho cha 40-42k. Kumbuka, bei haitakuwa fixed kwa sababu kila siku thamani ya pesa inabadilika.
Pili,king'amuzi hicho kimesajiliwa nchi gani? Kama Rwanda, ntakusaidia. Kama nchi nyingine,nisiwe muongo
 
Lipo jipya,full. Anaehitaji ani pm
 
Attachments

  • IMG_20240206_143439_868.jpg
    IMG_20240206_143439_868.jpg
    716.4 KB · Views: 46
Mwenye 120,000 aje apatiwe fasta. Installation na kifurushi cha mwezi wa kwanza humo humo
 
Attachments

  • IMG_20240206_143328_098.jpg
    IMG_20240206_143328_098.jpg
    2.6 MB · Views: 36
"MSIMU WA LIGI MBAIMBALI UMEKARIBIA"
Jipatie king'amuzi cha Canal Plus uweze kushuhudia mitanange ya Ligi kubwa Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 na nyingine kibao!
Decrder bila dish wala kifurushi ni 100k tu.
Kifurushi cha mwezi ni 46k
Mawasiliano 0629439450View attachment 2689344View attachment 2689345
Mkuu kwa nini unauza king'amuzi 100k?
 
Back
Top Bottom