James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
No, ila AFCON 2024 utaangalia kama kawaHizi channel za Tanzania zinaonekana kwenye hicho kifurushi cha 46k?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, ila AFCON 2024 utaangalia kama kawaHizi channel za Tanzania zinaonekana kwenye hicho kifurushi cha 46k?
Kwan si unachange lugha kune tvHili haliwezekani. Mfumo ni kifaransa. Ukihitaji English package,ipo lakini gharama ni kubwa. Mfano kama umelipia kifurushi cha elfu 40, unatakiwa kutoa 80 elfu ndo upate package ya kingereza
Hapana mkuu. Hiki king'amuzi kina mfumo wa kifaransa. Kupata wa kiingeleza,ni malipo ya ziada. Mfano ukitaka uangalie mechi kwa mfumo wa kiingeleza,unalazimika kulipia gharama kama ile ya 40,000 tena. Kwa ujumla, English kwenye Canal+, ni ya wenye nazoKwan si unachange lugha kune tv
Hata cha 10,000 zipo mkuu.Hizi channel za Tanzania zinaonekana kwenye hicho kifurushi cha 46k?
Na canal sport but huduma YA kulipia ndio changamoto...Je nikitaka kulipia nafanyaje kifurushi cha kuona UEFa Na EPL ..nyie wauzaji mtusaidie maana mnatuuzia Ila kulipa ndio inakuwa mtihaniVifurushi vipo kwa
-10,500
-20,500
-40,200 na 61,000 tuu
Mkuu,kwanza uelewe kitu kimoja. Na japo wengine si waungwana,kulipia hapa hapa TZ hutoweza. Ni kutuma pesa Rwanda,Burundi au DRC. Ndo huko hivyo ving'amuzi vinasajiliwa.Na canal sport but huduma YA kulipia ndio changamoto...Je nikitaka kulipia nafanyaje kifurushi cha kuona UEFa Na EPL ..nyie wauzaji mtusaidie maana mnatuuzia Ila kulipa ndio inakuwa mtihani
Sasa nafanyaje ikiwa nataka kulipia..Je sport ni sh ngapi niwe naona UEFaMkuu,kwanza uelewe kitu kimoja. Na japo wengine si waungwana,kulipia hapa hapa TZ hutoweza. Ni kutuma pesa Rwanda,Burundi au DRC. Ndo huko hivyo ving'amuzi vinasajiliwa.
Kama sikosei zipo 6, na zote zinapatikana kwenye kifurushi hicho cha 40-42k. Kumbuka, bei haitakuwa fixed kwa sababu kila siku thamani ya pesa inabadilika.Sasa nafanyaje ikiwa nataka kulipia..Je sport ni sh ngapi niwe naona UEFa
Aisee hiki ndio king'amuzi sasa. Kama hata 10k tu za home zinaonekanaHata cha 10,000 zipo mkuu.
Hiyo ni sawa na kupewa siyo uwekezajiMmepata usajili wa TCRA?
Unabishaje mkuu? Kwamba chanel za kitanzania hazipo? Si kweli, zipo. Angalia #84. Hilo kasha lina muongozo.No, ila AFCON 2024 utaangalia kama kawa
NdioHizi channel za Tanzania zinaonekana kwenye hicho kifurushi cha 46k?
45kMma na nba kifurushi cha shilingi ngapi?
YeahKifurushi cha 43k kinaonyesha nba na ngumi za ufc?
Mkuu kwa nini unauza king'amuzi 100k?"MSIMU WA LIGI MBAIMBALI UMEKARIBIA"
Jipatie king'amuzi cha Canal Plus uweze kushuhudia mitanange ya Ligi kubwa Duniani kama UEFA, EPL, LALIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, LEAGUE 1 na nyingine kibao!
Decrder bila dish wala kifurushi ni 100k tu.
Kifurushi cha mwezi ni 46k
Mawasiliano 0629439450View attachment 2689344View attachment 2689345
Bei nzuri
YeahBei nzuri
Hii taarifa wahusika na hii biashara wameshindwa kujibu kabisa.