mohame kholani
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 145
- 103
Naomba unicheck kaka 0712430116Nipo Mbeya Mjini naipataje hii decorder?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unicheck kaka 0712430116Nipo Mbeya Mjini naipataje hii decorder?
Mimi nilikuwa nacho! Changamoto kuripia, mimi nilikuwa namtumia pesa mtu yupo DRC anilipie...nimekiacha.harafu cha lugha ya Kiingeza kipo juu, hicho cha lugha ya Kifaransa kipo chini upuuzi mtupu.
Ukitaka kufurahia Canal Plus nunua kilichosajiliwa Burundi. Kulipia Burundi ni rahisi sana, kuna mawakala wa Kibongo lkn pia unaweza kutuma pesa Burundi kirahisi sana maana wanatumia Mpesa na Tigo Pesa.Mimi nilikuwa nacho! Changamoto kuripia, mimi nilikuwa namtumia pesa mtu yupo DRC anilipie...nimekiacha.
Hata Mimi nimeshangaaCanal nnacho na nnalipia 40 Kwa mwezi mkuu hyo 46 wizi
Bill ya mwezi kuona EPL na UEFA bei ganiUkitaka kufurahia Canal Plus nunua kilichosajiliwa Burundi. Kulipia Burundi ni rahisi sana, kuna mawakala wa Kibongo lkn pia unaweza kutuma pesa Burundi kirahisi sana maana wanatumia Mpesa na Tigo Pesa.
Kwa mwendo huu wa Dstv hata South Africa ilianza hivi hivi kwa sasa wamepoteza kila kitu huko mpaka Kampuni Iko kuelekea kufirisika.Nasikia Canal+ walipigwa marufuku hapa Tanzania ndio maana unaona mawakala wanauza decoder pekee, ukiuliza kuhusu masuala ya dishi wanakwambia tumia hata la Azamtv, StarTimes, Dstv, Zuku au Continental😁😁😁
TCRA wenyewe wakumbuke siku za nyuma tulikuwa tunapata Bure enzi za ITV free subscriptionTCRA wanapigaje marufuku wakati satellite yenye chaneli za Canal ina footprint hadi Bongo...
Ilitakiwa iwe 40k flat sababu Dstv family ni 37k48k tu, ila kwasasa kuna kifurushi kipya cha 55k ambacho unaona michuano mingi zaidi (Europa, Carabao n.k)
umeweka na namba kabisa ngoja nikuchome kwa TCRA Na DSTV kwa shelukindo unaharibu dili za DSTV kwa kisumbusi ambacho hakijasajiliwa bongo,ukinunua canal ni uhujum uchumi kesi nje nje kuweni makiniKwa wale wa Dar, Mzigo unapatikana mbezi beach (Mbezi juu) na zimebaki chache sana. Simu ziite wakuu. Mikoani (Mkoa wowote Tz) tunakutumia mzigo kwa uaminifu mkubwa.
0629439450View attachment 3136883
Kwa hy ukiwa na mpesa au tigopesa unaweza kulipia canal+?Ukitaka kufurahia Canal Plus nunua kilichosajiliwa Burundi. Kulipia Burundi ni rahisi sana, kuna mawakala wa Kibongo lkn pia unaweza kutuma pesa Burundi kirahisi sana maana wanatumia Mpesa na Tigo Pesa.