Habari mkuu, na shukran kwa swali lako zuri. Tuanzie hapa ili twende sawa, Refubrished laptop ni nini .?
"A refurbished item is a pre-owned product that's been evaluated, cleaned, repaired, upgraded (in some cases), and then resold"
Bidhaa zetu zote tunaiagiza kutoka China, Marekani na Dubai. Huko ndipo zinapofanyiwa matengenezo na marekebisho yote ya kabla ya kutumwa kuja kwetu. Hivyo nikuhakikishie tuu, Kwetu hakuna ulaghai wowote ule. Picha zote unazoona ninapost nimepiga katika bidhaa zetu na si za kudownload toka katika mitandao, na ndiyo maana unaona katika laptop zetu tulizonazo sasa kuna laptop zimekuwa upgraded na kuwekwa SSD wakati kiasili hazikutengenezwa toka kiwandani na SSD. Pia zina RAM 8 GB wakati hazikutengenezwa na RAM 8 GB. Haya yote yamefanyika huko tulipoutoa mzigo na si hapa nchini. Tumefanya haya yote kuhakikisha mteja anapata bidhaa bora yenye thamani sawa na pesa anayolipa.
Nikuhakikishie tuu, Karibu ufanye biashara nasi, Hutojuta kwani bei zetu ni nafuu chini ya bei za soko, bidhaa zetu ni bora na pia kwetu uaminifu ni mkubwa sana hata kama upo mkoani, mzigo wako tutakutumia kwa uaminifu mkubwa sana.
Kwa sasa tuna Vioo vya laptop, SSD aina zote, RAM za laptop
mkuu karibu tukuhudumie.