Computer4Sale Jipatie laptop yenye SSD storage, Core i5, RAM 8GB kuanzia 369,000 tu

Una customer care nzuri sana,very professional
 
Mkuu nahitaji laptop kwa matumizi ya kufundishia online..maana yake camera iwe quality kwa msikilizaji na mtazamaji upande wa pili..
Naomba unieleze Ni laptop gani itafaa kwa gharama ya sh. 500, 000/-
 
Mkuu nahitaji laptop kwa matumizi ya kufundishia online..maana yake camera iwe quality kwa msikilizaji na mtazamaji upande wa pili..
Naomba unieleze Ni laptop gani itafaa kwa gharama ya sh. 500, 000/-

Habari ndugu, Heri ya mwaka mpya 2023, natumai umeuona vyema kabisa.

samahani kwa kuchelewa kuuona ujumbe wako na kupelekea kuchelewa kukujibu. Kwa bajeti hiyo utapata laptop nzuri tuu yenye SSD storage, RAM 8 GB, 6th Gen processor na kuendelea.

Tutembelee upate changua itakayokufaa. Kuhusu camera za laptop kuwa na HD sina hakika sana juu ya hilo. Karibu nasi tutakuonesha aina mbalimbali tulizonazo, nawe utapata chagua itakayokidhi mahitaji yako.

NB ; Laptop zetu zote zipi customized na SSD storage na RAM >= 8GB ili kuzipa kasi na uwezo mzuri wa kuchakata kazi inazofanya.
 
Kuna lenovo yangu ya kizamani kidogo kioo kimeleta shida unaweza kuitengeneza?ntaipiga picha.
 
Kuna lenovo yangu ya kizamani kidogo kioo kimeleta shida unaweza kuitengeneza?ntaipiga picha.

Vioo pia tunavyo. Vioo vyetu ni vipya kabisa na bei zetu ni rahisi sana. Lenovo yako ni model gani.? Na kioo chako ni cha size gani.



 
Tofauti ipi kati ya SSD na HDD

Habari mkuu.

Ngoja nikuelezee kwa lugha nyepesi. SSD na HDD zinatofautiana katika teknolojia iliyotumika kuzitengeneza.

HDD ni teknolojia ya zamani kidogo na ni teknolojia ambayo kunakua na magnetic disk zaidi ya moda ( duara ama sehemu ya duara kiumbile ) ambapo katika hizi disks ndimo taarifa za mtumiahi huifadhiwa.

Kwa upande mwingine SSD ni teknolojia ya karibuni zaidi na ni teknolojia ambayo inatumia semiconductors ( chukulia mfano wa flash disk ziwe nyingii zilizounganishwa pamoja) kuhufadhi data.

Faida.
SSD zina kasi zaidi ya HDD kuanzia kasi mara 10 na kuendelea kutegemeana na aina ya SSD

SSD zina maisha marefu kuliko HDD.

SSD hazina kelele kama HDD kutokana na kwamba hazina sehemu zinazozunguka.

Karibu kwetu ujipatie SSD kwa bei rahisi kuanzia 69,000/= kwa SAD yenye GB 256.

Ukija kwetu ukanunua SSD tunakubadilishia bure kabisa na kukuwekea Programu bure kabisa.

Tunapatikana Machinga complex floor ya tatu. Tupigie kupitia namba 0714894798 ama 0753555055
 
Lenovo ThinkPad i5,
ram 8GB,
hdd 320GB,

ina adapter yake original na battery masaa 2:30 na ipo katika hali nzuri. bei ya ofa 300k tu, wahi sasa dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…