Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Corolla 110
Iko vizuri sana Mil 6.8
93158e4f865d52c24b3fbe9705c17e9e.jpg
856ecc23b6650d8f8b3bb92a3b29a7e3.jpg
 
haya magari yapo JAPAN kabisa nini.hizo bei zako tutakuogopa.unajenga nyumba nini
 
Unajua TZ dalali ni mwizi anataka kula hela kubwa kuliko. Kitu nauza 1M dalali atataka laki lakini yeye anaanza kukiuza tena kwa 2.5M hivyo anachukua 1.6M huu ni wizi. Nadhani itungwe sheria ambapo dalali awe link kati ya muuzaji na mnunuzi na baada ya biashara alipwe kamisheni kama madalali wa DSE
 
Wazo zuri hata sasa ndo kinachofanyika kwangu
 
Back
Top Bottom