Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

MKUU nina rav4 old mode number letters ALY, nina Nissan S/Wagon mwaka 2006 numbr DKD na Toyota Landcruiser S/Wagon ya 2006 bado kupata number ila na guess mpaka usajili itakuwa DLY . Cruiser nataka 60m, Nissan 50m na R4 12m. Ni Magari mazuri. Ukipata soko sema nikurushie picha.
 
Noah sr 40 four wheel
Ml 9.5fixed
828050d0042174f8494c3856cb0dfc65.jpg
6ebc66a9d2774c3348853d26422ab16d.jpg
Picha za ndani 0757227221 whazap.
 
Habari zenu wakuu,

Kwa uhitaji wa kununua gari used Tanzania, yaani gari za mikononi,

Wasiliana nami,

Leta oda yako kama sina nitakutafutia, kikubwa uwe na utayari na hela iwepo,

Ndani ya siku 1 unapata gari ulitakalo tayari kulikagua,

Pia kama unauza gari lolote nitakutafutia mnunuzi,

MAWASILIANO
Call/Sms
+255718295182
+255753254562
Instagram@bangojeupe
Watsap:+255683860978
Noah ya kizamani 7m ipo? Exhurb/ Super Extra ipo
STALET
MILION 4.5
Call 0718295182, 0753254562
e45d2419d51cae914c319412d15c34e2.jpg
 
Naitaji premio new model kuanzia 2002 na kuja hivi mwenye nayo bei maelewano
 
MKUU nina rav4 old mode number letters ALY, nina Nissan S/Wagon mwaka 2006 numbr DKD na Toyota Landcruiser S/Wagon ya 2006 bado kupata number ila na guess mpaka usajili itakuwa DLY . Cruiser nataka 60m, Nissan 50m na R4 12m. Ni Magari mazuri. Ukipata soko sema nikurushie picha.
Duh,ww,ni tajiri sana
 
Kama una gari unataka kuuza na unahitaji nikutafutie Mteja
Tuma picha za gari za muonekano wa mda huo Sio picha za muonekano wa zamani pande zote na injini
, details za gari Location na bei
Wattsp namba +255683860978
 
MKUU nina rav4 old mode number letters ALY, nina Nissan S/Wagon mwaka 2006 numbr DKD na Toyota Landcruiser S/Wagon ya 2006 bado kupata number ila na guess mpaka usajili itakuwa DLY . Cruiser nataka 60m, Nissan 50m na R4 12m. Ni Magari mazuri. Ukipata soko sema nikurushie picha.
Mimi kazi yangu ni kutafuta wateja unachotakiwa kufanya ni kunitumia picha na details za gar yako watsap 0683860978
 
Back
Top Bottom