Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
hahaha aaahwapi sema na wewe umeweka chakwako hapo.................Nyie maboss ndo tatizo unaniletea gari nikutafutie Mteja bei kama ya showroom
hahaha aaahwapi sema na wewe umeweka chakwako hapo.................Nyie maboss ndo tatizo unaniletea gari nikutafutie Mteja bei kama ya showroom
Milango mitatu mil 6 hadi 8 inategemea na ubora wa Gari na hali ya muuzajiRav4 old model fupi nitapata kwa bei gani mkuu?
Milango mitatu mil 6 hadi 8 inategemea na ubora wa Gari na hali ya muuzaji
LANDCRUISER 4 SALE DARESSALAAM TANZANIA![]()
2001 Land Cruiser LX, Coil Spring Mbele, 1HZ engine,
PRICE MILION 36 TZS
CALL
0718295182
0753254562
__
Sawa mzeeMkuu niangalizie gx 115 namba kuanzia c bajeti yangu 6m
Sawa mzee