Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Mkuu natafta gx 110 au brevis km <100,000 CC isizid 2500 bajeti 7m
299186373306d439639f724271b38d91.jpg
njoo uchukue hii.
 
86cefa6e2c8456e7dcd8041c22a84d0a.jpg
MURANO Four cylinder
Full Ac
Haigongi
Sports rims
Never repainted
Price 16.5
Tuende bank
LOCATION Mbez beach
CALL +255753254562, +255718295182
 
Ukiweka gari onyesha interior
Kutuma Picha hapa ni ishu sana chief mambo ya Picha namalizana na wateja watsap naomba kwa yeyote anayehitaji Picha zaidi watsap namba 0718295182 nitajie na gari unayohitaji
 
Wee jamaa hivi unataka wateja kweli alaf utuonyesha ubavu wa gari ebooo
Hapa narusha sampo Picha zaidi ya kumi kurusha JF Ni ishu wazee alafu uzi unapanda fasta naomba uchukue namba yangu hapo juu nicheki watsap Sekunde 2 natuma Picha hata kumi
 
Mkuu nataka kuwa dalali wa magari vitu gani nizingatie na niwe na kiasi kama cha bei gani

Pili je utakua na Alteza namba D ya Milion 5
 
Mkuu naweza kupata carry au Nissan kwaajili ya kubebea mizigo. Kama inapatikana kwashingapi?
 
Njoo ujikamatie hii premio old model,d4 engen
Gari ni Nzima .....bei Mln 4
0715591141 piga sim

Ova
 

Attachments

  • IMG-20171206-WA0008.jpg
    IMG-20171206-WA0008.jpg
    55 KB · Views: 209
  • IMG-20171206-WA0009.jpg
    IMG-20171206-WA0009.jpg
    33 KB · Views: 214
  • IMG-20171206-WA0010.jpg
    IMG-20171206-WA0010.jpg
    57.8 KB · Views: 219
Back
Top Bottom