Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

NAUZA TRACTOR, TELA NA JEMBE LAKE BEI MIL 48 TZS
 
NAWE KAMA UNA GARI UNAUZA
PIGA PICHA ZA NDANI NA NJE PANDE ZOTE PAMOJA NA INJINI
NITUMIE WATSAP KWA NAMBA 0718295182
 
Unajua TZ dalali ni mwizi anataka kula hela kubwa kuliko. Kitu nauza 1M dalali atataka laki lakini yeye anaanza kukiuza tena kwa 2.5M hivyo anachukua 1.6M huu ni wizi.


Kwa hiyo hapo dalali akichukua 1.6M wewe mwenye gri unakuwa umeibiwa shilingi ngapi?
 
Mi Sifanyi udalali huo ndugu ww Muuzaji yaani mmiliki wa gari husika, nipe bei ya kuuzika husinipe Bei ya kiudalali itakayochelewesha au kufanya gari isiuzike kabisa
Mimi natangaza gari kwa bei utakayonipa ww Muuzaji na si kuongeza cha juu
Nitapigana mteja apatikane, Nikileta mteja mnaelewana nae ww gari ikiuzika,Muuzaji utanikumbuka kwa kidogo ili nami nipate cha kulisha familia
ASANTE NDUGU
 
Hiyo passo inauzwa
Tatizo lake ni kua ikiwa kwenye barabara za mashimo inagonga chini
TOYOTA PASSO [HASHTAG]#INAUZWA[/HASHTAG]
Mwaka 2005
Km 75890
Poston 3
990 cc
Bei Mil 4.5 TZS
AC[emoji736]
RADIO [emoji736]
DARES SALAAM TANZANIA
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Mkuu Toyota Vanguard
2008 ya CC 1500-2500
Black
Mpaka Mkononi Naipata Kwa Tsh ngapi?
Yaani kila kitu.
 
Mkuu Toyota Vanguard
2008 ya CC 1500-2500
Black
Mpaka Mkononi Naipata Kwa Tsh ngapi?
Yaani kila kitu.
Hiyo kwa sasa sina labda nikutafutie ndugu nikipata nitarusha hapa
 
MITSUBISHI FUSO hiyo wakuu imeshafinyiwa usajili

INAUZWA MITSUBISHI FUSO mpyaa NAMBA T 119 DMU
Model 1995
Engine 15 kavu
Urefu wa bodi futi 22
BEI MILLION 46 TZS
MAONGEZI YAPO
LOCATION DARES SALAAM TANZANIA
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
 
INAUZWA BMW
Mwaka 2001
Mileages 62,000
4.4 L
BEI MIL 18 TZS
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Wakuu nina picha nyingine za ile canter ya Mil 15 hizo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…