BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
- Thread starter
- #401
CANTER TIPA
TANI 2
MIL 16 TZS
TANI 2
MIL 16 TZS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei zako tu ndo shida,tafuta uzi wa tax services ndo utajiona we udalali wako wa kishambaHiyo harrier nauza Mil 22.5 TZS View attachment 812695
Hizi ni gari za watu na hizo Bei ni za wauzaji wanaonikabidhi hizo gari, inawezekana wanaomkabidhi magari huyo jamaa yako, hawafanani na wanaonikabidhiBei zako tu ndo shida,tafuta uzi wa tax services ndo utajiona we udalali wako wa kishamba
Nauza haya magari bila udalali
Kuna kitu nimejifunza shukrani mzee [emoji120]Bei zako tu ndo shida,tafuta uzi wa tax services ndo utajiona we udalali wako wa kishamba
Nauza haya magari bila udalali
Unajua TZ dalali ni mwizi anataka kula hela kubwa kuliko. Kitu nauza 1M dalali atataka laki lakini yeye anaanza kukiuza tena kwa 2.5M hivyo anachukua 1.6M huu ni wizi.
Nazani ni kuchelewesha biashara na mwisho anayeumia ni mnunuziKwa hiyo hapo dalali akichukua 1.6M wewe mwenye gri unakuwa umeibiwa shilingi ngapi?
Mi Sifanyi udalali huo ndugu ww Muuzaji yaani mmiliki wa gari husika, nipe bei ya kuuzika husinipe Bei ya kiudalali itakayochelewesha au kufanya gari isiuzike kabisaUnajua TZ dalali ni mwizi anataka kula hela kubwa kuliko. Kitu nauza 1M dalali atataka laki lakini yeye anaanza kukiuza tena kwa 2.5M hivyo anachukua 1.6M huu ni wizi. Nadhani itungwe sheria ambapo dalali awe link kati ya muuzaji na mnunuzi na baada ya biashara alipwe kamisheni kama madalali wa DSE
Hiyo kwa sasa sina labda nikutafutie ndugu nikipata nitarusha hapaMkuu Toyota Vanguard
2008 ya CC 1500-2500
Black
Mpaka Mkononi Naipata Kwa Tsh ngapi?
Yaani kila kitu.