Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

Kuna baadhi ya member wamenipm wanapendekeza niunde kundi la watsap kwa ajili ya update za magari
Je kuna ulazima wa watsap group ndugu zangu
 
Baadae nitatoa somo fupi juu ya ununuzi wa magari kupitia mafundi, baadhi yao sio waaminifu sasa nitawapa mbinu ya kukabiliana na changamoto za kukagua gari pindi unapotaka kununua
 
NDUGU KUNA MTEJA YUKO HUMU AMENITUMA PRADO TX YA MWAKA 2000
OFA MIL 15 GARI IWE NZURI
IWE DIESEL,
CHINI YA CC 2700
AUTOMATIC
CALL
0718295182
0765505909
 
Baadae nitatoa somo fupi juu ya ununuzi wa magari kupitia mafundi, baadhi yao sio waaminifu sasa nitawapa mbinu ya kukabiliana na changamoto za kukagua gari pindi unapotaka kununua
Kiongozi leta hyo Elimu naisubir sana
 
ESKUDO HII MBICHII
KILOMETRE 9000 TU
TV BACK SEAT
MILION 8 TZS
HAIJAWAHI PIGWA RANGI
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Toyota Town ace pick up inahitajika offer 9mln namba ianze B.....taili nyuma zile double

Ova
 
#INAUZWA BMW NAMBA B
MANUFACTURE YEAR 2000
CC1895
Petrol
AC [emoji819]️
RADIO [emoji819]️
BEI MILIONI 7 TZS
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Attachments

  • IMG_20180728_222118_179.jpg
    63.2 KB · Views: 71
Hivi unatambua tuko awamu gani mkuu? Hizo bei ni za awamu ya chief toka msoga!
 
Last edited:
LAND CRUISER PRADO TX YA MWAKA 2000
CC 2960. BEI MIL 12 TZS
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909
 
Last edited:
Kama una gari unauza tafadhari tuwasiliane kwa namba hizo, kazi yangu ni kukuletea wateja

0718295182 WATSAP
0765505909
 
Kuna baadhi ya member wamenipm wanapendekeza niunde kundi la watsap kwa ajili ya update za magari
Je kuna ulazima wa watsap group ndugu zangu
Mimi nashauri ungeunda kundi la Telegram. Au channel ya telegram ingekuwa poa zaidi. Whatsapp ni padogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…