BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
- Thread starter
-
- #21
*MARK 2 GRANDE, MZIGO HAUNA TATIZO LOLOTE,*Mark 2 kwa 6.5
Nimekutumia picha na bei PmUkipata ni PM au ALTEZZA NZURI KWA 6.5
Asante sana mkuu [emoji120]Mkuu wewe ni Dalali Bora ,unajua nini unafanya.
God Bless you
Chief tuliwasiliana watsap jana?Tdi nataka nikapambane kule kijijin kwetu Endabash Karatu
Unataka gari gani chief na ya bei ganihaya magari yapo JAPAN kabisa nini.hizo bei zako tutakuogopa.unajenga nyumba nini
Hapana mkuu cyo mm!Chief tuliwasiliana watsap jana?
mmh sio wewe ndo unazidisha cha juu?Nyie maboss ndo tatizo unaniletea gari nikutafutie Mteja bei kama ya showroom
*MARK 2 GRANDE, MZIGO HAUNA TATIZO LOLOTE,*
*BEI 6.3 MILLION
Wazo zuri hata sasa ndo kinachofanyika kwanguUnajua TZ dalali ni mwizi anataka kula hela kubwa kuliko. Kitu nauza 1M dalali atataka laki lakini yeye anaanza kukiuza tena kwa 2.5M hivyo anachukua 1.6M huu ni wizi. Nadhani itungwe sheria ambapo dalali awe link kati ya muuzaji na mnunuzi na baada ya biashara alipwe kamisheni kama madalali wa DSE
+255683860978Namba yako whassap plz