BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
- Thread starter
- #361
[emoji23] [emoji23]Hii nchi ina vituko, kicha cha habari "Kutana na dalali wa magari" mtu anauliza chumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Hii nchi ina vituko, kicha cha habari "Kutana na dalali wa magari" mtu anauliza chumba
Bango NyeupeNISSAN HARDBODY NAMBA D
BEI MIL 18 TZS
MAONGEZI YAPO
CALL
0718295182 WATSAP
0765505909 View attachment 769954View attachment 769955View attachment 769957
[emoji16][emoji16]Mudhole ndo nini chiefBango Nyeupe
Hii gari inakaa ni kama ilikuwa kwa mudhole...isafishe ndiposa uuze mazee..loh
Mil 12 unapata nzuri zaidiNahitaji Toyota town ace pickup 4wheel driver ambayo iko vizuri nishingapi mkuu
Naomba contact mkuu ili nikutafuteMil 12 unapata nzuri zaidi
KAMA UNA GARI UNAUZA AU UNAHITAJI KUNUNUA GARI LOLOTE TANZANIA CALL 0718295182 WATSAPNaomba contact mkuu ili nikutafute
Mkuu iyo Gari bado IPO? Niunganishe na Mmiliki. Ofa yangu 2.5 ila nitalipa kwa awamu 2. Kadi anabaki nazo hadi nitakapo maliza.NISSAN MARCH MIL 3![]()
Gari ilishauzwa chiefMkuu iyo Gari bado IPO? Niunganishe na Mmiliki. Ofa yangu 2.5 ila nitalipa kwa awamu 2. Kadi anabaki nazo hadi nitakapo maliza.