INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

nimechoka kukaa chini mkuu naomba msaada ofa ya christmass nikalie kochi. kama hii exactly kitambaa kigumu (ngozi) naipata kwa bei gani .
 
nimechoka kukaa chini mkuu naomba msaada ofa ya christmass nikalie kochi. kama hii exactly kitambaa kigumu (ngozi) naipata kwa bei gani .
kwa kawaida kama hilo huwa tunauza kwa laki 9 hila kwa offer yako ya sikuku ntakupunguzia elfu 50 ndugu hivyo ntakuuzia kwa tsh 850,000. na ni kwa kitambaa kigumu (ngozi) na rangi utakayoipenda ndugu,
 
mbona hii kidogo ghali kulinganisha na L shape nyingine ambazo nimeona zimepostiwa hapo juu naomba ufafanuzi. kwa budget yangu ya 650k siwezi ipata ??
 
mbona hii kidogo ghali kulinganisha na L shape nyingine ambazo nimeona zimepostiwa hapo juu naomba ufafanuzi. kwa budget yangu ya 650k siwezi ipata ??
kikubwa hapo ni kitambaa hiko ni ghari sana ni ngozi, kwa hiyo 65k niongezee 30,000 elfu na tutumie kitambaa kigumu cha dizain hii[IM G]/URL] hila langi inakua hivyo hivyo kama unavyokitaka wewe
 
naweza pata kama hii ila unibadirishie rangi ya kitambaa, with the same price?
 
kwa sasa hivi tunatoa huduma hata kwa walio mikoa mingine nje ya dar es salaam, hivyo kwa wateja wetu mliopo nje ya dsm tutawahudumia huko huko mlipo, sababu mafundi wapo wa kutosha hivyo unapoweka oda na kutupa aina ya sofa na kitambaa unachokitaka sisi tutakuja kwako na baazi ya vifaa na vifaa vyengine km mbao tutapatia huko huko kwako, karibuni sana
 
kwa hizi na aina nyengine nyingi fika ofisini kwetu Mtoni mtongani au Tabata dar west, pia unaweza ukatupata kwa namba za simu +255784133449/
+255769954870/
+255679670906/
+255621038229
au kwa email eliusmoris2@gmail.com
karibuni sana
 
hizi za mchina tulikua tunaagiza kipindi cha nyuma katika office yetu ya airport jirani na benk ya NMB ila kwa sasa tumeifunga na tumesitisha uagizaji mpaka hapo hari ya uingizaji bidhaa nchini itakapokua sawa
Hizi nimezipenda. Bei gani mlikuwa mnauza?
 
Kuna sehemu pale juu nimeona dressing table nzuri sana kwa ajili ya wife.....vp unaziuza sh ngap
 
Mkuu me nataka unitengenezee fashion ya kama zile za ikulu
 
Huyu mwenye uzi amepotea?! Mbona hajibu maswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…